
UBINGWA YANGA MWANGA 85 ASILIMIA
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ambao Yanga wameupata dhidi ya Azam FC Aprili 6, sasa kocha wa timu hiyo, Nassredine Nabi, anaamini wana asilimia 85 za kutwaa ubingwa msimu huu wa 2021/22. Lakini amewasisitiza wachezaji wake waendelee kupambana ili kuhakikisha wanakamilisha asilimia zote za ubingwa msimu huu. Yanga katika mchezo wa mzunguko wa pili…