WAWA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA PABLO

PASCAL Wawa, beki wa kati wa Simba, ameweka wazi kuwa hakuna tofauti kati yake na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco. Juzi, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ilitokea hali ya kutoelewana katika suala la kufanya mabadiliko ambapo Wawa alikuwa anajiandaa kuingia uwanjani akitokea benchi ghafla, Pablo alimvuta kwa nguvu kubwa na kuonekana akilalamika. Pia…

Read More

JEMBE LA SIMBA LAMALIZANA NA TIMU KONGWE

MSHAMBULIAJI Deo Kanda raia wa Congo amemalizana na timu kongwe ndani ya ardhi ya Tanzania, Mtibwa Sugar kwa ajili ya kutoa huduma kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22. Ikumbukwe kwamba kabla ya Kanda kujiunga na Mtibwa Sugar amezitumikia TP Mazembe, Simba,Raja Casablanca,Vita Club AE Larisa na DC Motema Pembe. Pia alipokuwa ndani ya Simba…

Read More

USAJILI UZINGATIE RIPOTI YA BENCHI LA UFUNDI

HEKAHEKA za usajili wa dirisha dogo ndani ya Ligi Kuu Bara zimeanza huku timu nyingi zikianza mikakati ya kuviboresha vikosi vyao kuelekea mzunguko wa pili ili ziweze kufanya vizuri kwenye ligi na michuano mingine ambayo watashiriki.   Kipindi hiki timu zinapaswa kuwa makini katika kuhakikisha wachezaji ambao watasajiliwa waendane na mahitaji ya benchi la ufundi…

Read More

PABLO HANA TATIZO NA PASCAL WAWA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichotokea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC ni kutoelewana na mwamuzi. Jana Pablo akiwa benchi alionekana kumzuia Pascal Wawa asiweze kuingia kuendelea kutimiza majukumu yake. Kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulisoma KMC 1-4 Simba na kuiwafanya mabingwa hao watetezi kusepa na…

Read More

METACHA MNATA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

MLINDA mlango namba moja wa Klabu ya Polisi Tanzania, Metacha Mnata rasmi amevunja mkataba na aliyekuwa meneja wake Jemedari Said. Hili limekuja wakati huu ambapo Metacha anazungumzwa kuhitajika na Yanga ambao watakosa huduma ya kipa wao namba moja raia wa Mali Diarra ambaye anakwenda kujiunga na Timu yake ya Taifa katika michuano ya AFCON. Kwa…

Read More

REKODI ZA JEMBE JIPYA LA YANGA

REKODI za winga mpya wa Yanga, Chico Ushindi zinatisha jambo ambalo linaonesha ni kweli timuhiyo imepata jembe la maana ambalo litakuja kuongeza makali katika safu ya ushambuliaji ambayo kwa sasa inazidi kuwa kiwembe. Yanga tayari imekamilisha usajili wa mkopo wa winga huyo ambaye alikuwa anakipiga katika Klabu yaTP Mazembe ya nchini DR Congo. Katika mkataba huo, kuna kipengele cha nyota huyo anayetumia miguu yote kusakata kabumbu kujiungana Yanga moja kwa moja kama…

Read More

RASMI: SURE BOY ATAMBULISHWA YANGA

BREAKING: RASMI Kiungo Salum Aboubakhari ametambulishwa Yanga akiwa mchezaji huru. Nyota huyo alikuwa anakipiga ndani ya Azam FC ambapo mkataba wake ulikuwa unatarajiwa kumeguka msimu huu lakini aliomba kuvunja mkataba. Hiyo ilitokana na matatizo ya kinidhamu ambapo ilipelekea akasimamishwa kwa muda usiojulikana na hata walipoambiwa warudi kambini Sure Boy hakuwa tayari kurudi aliomba kuvunjiwa mkataba…

Read More

DAKIKA 90, KMC 1-4 SIMBA

SIMBA watakula Christmas wakiwa na pointi zao tatu kibindoni baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC. Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa na mashabiki wengi walijitokeza Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kushuhudia mchezo huo. Simba waliweza kupachika mabao yao kupitia kwa Mohamed Hussein dk 10,Joash Onyango dk 13 na Kibu Dennis alipachika…

Read More

DAKIKA 45: KMC 1-2 SIMBA

UWANJA wa Ali Hassan Mwinyi dakika 45 zimekamilika kwa timu mbili kuonyeshana ubabe wa kusaka pointi tatu muhimu. Ubao kwa sasa unasoma KMC 1-2 Simba hivyo timu zote zinakwenda mapumziko zikiwa zimepata bao na Simba inaongoza. Mohamed Hussein alianza kupachika bao la kuongoza ilikuwa dakika ya 10 kisha dakika ya 12 Onyango Joash alipachika bao…

Read More