
KICHUYA APELEKWA YANGA
WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo, Ramadhan Kichuya amebainisha kwamba, anataka kumuona kijana wake akijiunga na Yanga SC. Baba Kichuya amesema mwanawe huyo atakuwa na wakati mzuri zaidi akiichezea Yanga na siyo Simba ambayo amekuwa na mapenzi nayo kwa…