
MANCHESTER UNITED YASUKUMIZWA NJE YA MICHUANO YA KOMBE LA FA
Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la FA kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Fulham kwenye robo fainali katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 1-1 Fulham ⚽ 71’ Bruno ⚽ 45+1’ Bassey MATUTA: Man Utd: ✅ ✅ ✅ ❌❌ Fulham: ✅ ✅ ✅✅