
KASEJA KOCHA MPYA KAGERA SUGAR
Vongozi wa Klabu ya Kagera Sugar wametoa taarifa kwa Mashabiki wa Klabu hiyo na Wadau wa mpira kwamba kuanzia sasa Juma Kaseja atakuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.
Vongozi wa Klabu ya Kagera Sugar wametoa taarifa kwa Mashabiki wa Klabu hiyo na Wadau wa mpira kwamba kuanzia sasa Juma Kaseja atakuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.
AHMED Arajiga ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025 ambapo wababe wawili wanatarajiwa kukutana Yanga na Simba. Ikumbukwe kwamba Arajiga alikuwa mwamuzi kwenye mchezo wa Mzizima Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-2 Azam FC wababe hao…
Deuces Wild Poker Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni…
Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya kukutana na wanyama wa porini, na furaha kubwa kati yao itatoka kwa mbwa mwitu. Karibu kwenye mahali pa burudani bora Zaidi na Maokoto mengi Meridianbet. Wolf Land Hold and Win mchezo wa kasino ya mtandaoni…
Timu ya Tabora United itatumia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kama Uwanja wa wake wa nyumbani katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania, utakaochezwa siku ya ljumaa Machi 07 saa 10:00 jioni. Tabora United FC itatumia Uwanja huo kutokana na kufungiwa kwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ambao ulikuwa ukitumika kwa…
Mkufunzi wa FIFA wa Kozi ya Waamuzi ya VAR (VAR Course Program), Tameer Dorry akiwaelekeza Waamuzi matumizi ya teknolojia ya VAR
Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi za UEFA zenye pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na Borussia Dortmund yeye atatunishana mbavu dhidi ya Lille ya Ufaransa ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi na mwenyeji yupo nafasi ya 10…
NYOTA Steven Mukwala mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kazi kubwa ni kupambana kwenye mech izote kupata matokeo mazuri kutokana na ushirikiano ambao upo kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kwenye msimamo wa ligi Simba ni namba mbili baada ya mechi 21 imekusanya jumla ya pointi 54 vinara wakiwa ni Yanga inayonolewa na…
ERASTO Nyoni kiraka anayetimiza majukumu yake ndani ya kikosi cha Namungo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa nyota Clatous Chama amebadilika hasa kwenye upande wa spidi ila watu wanamtazama kwa mazoea. Ipo wazi kwamba Chama ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha kubwa la usajili ilikuwa ni…
Fishtastic ni kasino ya mtandaoni ambayo imeandaliwa na Red Tiger. Mchezo huu una sifa nyingi na bonasi za kasino zenye kuvutia. Waogeleaji watapata ishara za pesa na samaki, na kuna pia mizunguko ya bure Jisajili Meridianbet ufurahie mengi kuhusu mchezo huu. Kasino ya Fishtastic ni mchezo wenye safu tano zilizowekwa katika nguzo tatu na ina…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amefungukia ishu ya timu hiyo kufanya makosa kwenye mchezo wao dhidi ya Mzizima Dabi, ishu ya waamuzi na kazi iliyopo mbele kuelekea mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025.
NDANI ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kuna wakali wakucheka na nyavu ambao wameandika rekodi zao za kusepa na mipira Bongo msimu wa 2024/25. Nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya ligi ni Prince Dube ambaye yupo ndani ya kikosi cha Yanga huyu alifunga kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa,…
MWAMBA Steven Mukwala ameandika rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2024/25 ukiwa ni msimu wake wa kwanza. Nyota huyo anayevaa jezi namba 11 alifanya hivyo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ilikuwa Machi Mosi 2025…
Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la FA kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Fulham kwenye robo fainali katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 1-1 Fulham ⚽ 71’ Bruno ⚽ 45+1’ Bassey MATUTA: Man Utd: ✅ ✅ ✅ ❌❌ Fulham: ✅ ✅ ✅✅
Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (kombe la FA 🇹🇿) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora. FT: Azam FC 1-1 Mbeya City ⚽ 90+4’ Yahya…
Jumatatu ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Leo hii LALIGA kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Villarreal dhidi ya Espanyol Barcelona huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 5…
Aliyekuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars”, Adel Amrouche ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Rwanda “Amavubi”…. Sambamba na Taifa Stars, Amrouche amewahi kuzinoa Burundi,Kenya,USM Alger, Libya, MC Alger, Botswana na Yemen.