
MCHEZAJI BORA YANGA AFICHUA JAMBO
MCHEZAJI bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex, Maxi Nzengeli amesema kuwa mwalimu wa timu hiyo anahitaji kujituma zaidi katika mechi za ushindani. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex Februari Mosi baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-0 Kagera Sugar ambapo Maxi…