
AZAM V SIMBA KITAWAKA LEO DK 90 ZA KAZI
MTIHANI mwingine wa kusaka pointi tatu kwa vigogo ndani ya ligi, Azam FC V Simba ni leo Uwanja wa Azam Complex kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu. Macho na maskio kwa muda wa dk 90 utakuwa hapo kusubiri nini kitatokea,hapa tunakuletea kazi zitakavyokuwa:- Mechi zao tano zilizopita Azam FC ilikuwa kwenye mechi 5…