
MATAIFA MATATU YAUNGANA KUIFUNGA YANGA
ILIBIDI mataifa matatu yaungane kuifunga Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi,Uwanja wa CCM Kirumba na kutibua rekodi ya dk 450 ya timu hiyo kutoruhusu bao. Ni pasi ya kiungo Shaban Ada ambaye huyu ni mzawa alitoa pasi kwa Ambrose Awio raia wa Uganda kisha akampa pasi Collins Opare raia wa Ghana aliyeweza…