
MASTAA WAWILI YANGA WATIMULIWA KAMBINI
IMEELEZWA kuwa nyota wawili ndani ya kikosi cha Yanga wametimuliwa kambini kutokana na kushindwa kufuata utaratibu ambao upo. Ni winga Dickosn Ambundo ambaye amekuwa kwenye mwendo mzuri kwenye mechi za hivi karibuni kwa kuwa chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi. Pia nyota mwingine ni Said Ntibanzokiza ambaye yeye ni kiungo mshambuliaji. Habari zimeeleza kuwa…