
HATMA YA SADIO MANE NDANI YA LIVERPOOL KUJULIKANA LEO
RIPOTI kutoka nchini Ujerumani zinadai kuwa Sadio Mane atawaaga wachezaji wenzake wa Liverpool baada ya mchezo wa fainali ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya kesho Mei 28, 2022 mchezo watakaocheza dhidi ya Real Madrid. Mkataba wa Mane ndani ya Liverpool unaisha Juni 2023 na alipoulizwa juu ya hatma yake kama atasalia klabu hapo alisema ataweka…