
UBINGWA WA 28 WANUKIA LEO YANGA
JUNI 15, Uwanja wa Mkapa saa 2:30, Yanga v Coastal Union ni mchezo wa mzunguko wa pili ule wa kwanza Uwanja wa Mkwakwani, ubao ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga. Mchezo wa leo ikiwa Yanga itashinda itafikisha pointi 67 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu nyingine hivyo itakuwa imeshatwaa ubingwa wa ligi. Ikitokea ikapoteza utakuwa ni mchezo…