
MASHINE MPYA YANGA HII HAPA KUTOKA ANGOLA
UNAKUMBUKA uongozi wa Yanga ulisema kuwa kuna mchezaji aliyecheza Ligi ya Angola atasajiliwa na Yanga msimu huu? Sasa ni wazi kuwa klabu hiyo tayari imemelizana na straika huyo anayefahamika kwa jina la Adriano Belmiro Duarte Nicolau ‘Yano’ anayekipiga Petro Luanda ya nchini humo. Yano Belmiro mwenye umri wa miaka 29, katika michuano ya kimataifa msimu…