
RAIS NI INJINIA NA MAKAMU NI ARAFAT
INJINIA Hersi Said kwa sasa ni rais wa kwanza ndani ya Klabu ya Yanga baada ya historia mpya kuandikwa. Wanakuwa ni vingozi wa kwanza ndani ya Yanga aada ya kuingia kwenye mfumo wa mabadiliko na kuongozwa na rais ambapo zamani kiongozi mkubwa alikuwa ni Mwenyekiti. Pia Mwenyekiti wa mwisho ndani ya Yanga yenye maskani yake…