
MWAMBA MSHERY KWENYE KIBARUA DHIDI YA PRISONS
MWAMBA Aboutwalib Mshery kipa wa Yanga leo Desemba 22 ana kibarua cha kutimiza majukumu yake mbele ya Wajelajela, Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Mshery kuanza kikosi cha kwanza msimu wa 2024/25 huku Kibwan Shomary ambaye mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa…