
MASHINE YA MABAO SIMBA KUPEWA MKONO WA KWA HERI
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa mabao ndani ya Simba anatajwa kuwa miongoni mwa mastaa ambao watapigwa chini ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki ligi. Simba leo ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Tanzania Prisons mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine. Habari kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa tayari mabosi wa Simba wameanza mpango wa kusaka mbadala…