YANGA WAINGIZA BILIONI MOJA KILA MWEZI,MAPYA KUHUSU MANZOKI SIMBA
YANGA waingiza bilioni moja kila mwezi,mapya yaibuka usajili wa Manzoki Simba SC,ndani ya Championi Ijumaa
YANGA waingiza bilioni moja kila mwezi,mapya yaibuka usajili wa Manzoki Simba SC,ndani ya Championi Ijumaa
MUDA uliobaki kwa sasa ni wa dhahabu kwa timu zote ambazo zinajiandaa na msimu ujao wa 2022/23 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kwa sasa siku zinahesabiki hasa kuelekea mwanzo wa msimu ujao ukizingatia kwamba Agosti 13 mchezo wa Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa. Huu mchezo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa ligi na…
LEO Julai 28,2022 Yanga imezindua uzi mpya ambao unatarajiwa kutumika kwa msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Rais wa Yanga,Injinia Hersi Said amesema kuwa uzi huo kwa sasa unapatikana Tanzania nzima. “Jezi yetu mpya ambayo tumeizindua kwa sasa inapatikana kila sehemu kwa wale wa Dodoma wasiwe na mashaka uzi wetu tayari umefika kila sehemu Watanzania…
MWANDISHI Mkongwe wa Habari za Michezo Tanzania, Saleh Jembe amebainisha kuwa kichapo cha mabao 2-0 ambacho Simba wamekipata dhidi ya Haras El Hodoud ya Misri ikiwa ni mchezo wa kirafiki,Jembe ameweka wazi kuwa wamejifunza kwa kuwa wamecheza na timu kubwa
FISTON Mayele nyota wa Yanga ambaye alifunga mabao 16 msimu wa 2021/22 alikuwa ni miongoni mwa mastaa waliokuwepo wakati wa kukabidhiwa milioni 100 na wadhamini wa Yanga, SportPesa Tanzania
FABRICE Ngoma anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuwaniwa na Yanga ili aweze kusajiliwa katika kikosi hicho ambacho kimeweka kambi Kigamboni.
ZAKARIA Thabit,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mchezo wao wa kirafiki wa kwanza ulikuwa ni mzuri na wana amini kwamba wamepata kitu na sababu ya kupoteza mchezo huo ilitokana na mwamba kuwa kizuizi kwa mashuti ambayo yalikuwa yanapigwa na wachezaji wa timu hiyo
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wake aliopoteza nchini Misri unampa mwanga mpana wa kutambua ubora wa kikosi chake. Maki alishuhudia vijana wake wakinyooshwa kwa kupoteza kwenye mchezo wa tatu wa kirafiki uliochezwa nchini Misri ambapo ni mabao 2-0 walifungwa dhidi ya Haras El Hodoud Katika mchezo wa kwanza waliambulia sare na…
OFISA Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amesema kuwa wamepoteza mchezo wa kwanza wakiwa nchini Misri. Baada ya ubao kusoma Wadi Degla 1-0 Azam FC ikiwa ni mchezo wa kwanza wa kirafiki,. Timu hiyo imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni maandaizi kwa ajili ya msimu wa 2022/23 ambao unatarajiwa kuanza Agosti. Thabit amesema kuwa ulikuwa ni…
AZAM FC leo wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wakiwa nchini Misri ambao ni maalumu kwa ajili ya benchi la ufundi kutazama namna vijana wao walivyoweza kuwa imara. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Azam FC ambayo inatarajiwa kutumia siku 20 ikiwa Misri kwa maandalizi ya msimu mpya. Kocha Mkuu wa Azam FC,Abdi Hamid Moallin…
UONGOZI wa KMC umewataka mashabiki wasiwe na presha juu ya usajili wao kwa kuwa wanajua kile ambacho wanafanya. Kwa sasa KMC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekuwa ikiwapukutisha mastaa wake ambao mikataba yao imeisha na wengine kupata madili mapya kwa msimu ujao. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wanatambua kile ambacho wanakifanya…
MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba,Ahmed Ally ameweka wazi kuwa wanatafuta pumzi ya moto ambayo itashushwa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii. Simba imeweka kambi Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 na wanatarajia kurejea Agosti 3 kwa ajili ya maandalizi ya Simba Day,Agosti 8. Ally amesema…
“HAIWEZEKANI mpira ukaendeshwa kwa kulalamika lalamika, haiwezekani, niwapongeze sana TFF, Bodi ya Ligi na Serikali kwa kusimamia nidhamu ya mpira wa miguu ndani na nje ya uwanja wanatoa sapoti ligi inachezwa…..” Hizo ni baadhi ya kauli za msemaji wa mabingwa wa kihistoria Yanga SC, Haji Manara kipindi akiwa Simba ambapo alionyesha kuchukizwa waziwazi na kitendo…
MASTAA wa Yanga kwa msimu wa 2022/23 tayari wameanza mazoezi na kupewa jezi zao kwa ajili ya msimu mpya na kambi yao ipo Kigamboni ambapo kila mmoja anajua namba ambayo ataitumia kwenye mechi za ushindani
MKONGWE kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari akiwa na uzoefu mkubwa kwenye kazi hiyo amebainisha kuwa Simba ilikuwa ni lazima kuweza kufanya usajili wa kati baada ya kuachana na Pascal Wawa ambaye anaamini kwamba yeye ni beki bora kwa muda wa ambao alikuwa yupo hapo
SELEMAN Matoka Kocha Msaidizi wa Sima amebainisha kuwa wanaendelea vizuri na mazoezi nchini Misri kwa sasa wakiwa wameanza kufanya mazoezi makubwa tofauti na walivyoanza mwanzo
KLABU ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho wa msimu wa 2023/2024. Taarifa hizo zimeibuka ikiwa ni mipango ya klabu hiyo kutaka kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji lakini pia ikiwa ni njia ya kutengeneza mazingira rahisi kwa Klabu ya Inter Milan…