
HAIJAWAI KUTOKEA YANGA YATIKISA JIJI, MSAFARA WAO, BASI LAGEUKA KIVUTIO (PICHA +VIDEO)
HAIJAWAHI kutokea unaambiwa. Hiyo ni mara baada ya Yanga kufunga mitaa ya Jiji la Dar es Salaam na kujaa jezi za kijani na njano wakati wakilitembeza kombe lao la ligi kuu ambalo wamelibeba msimu huu. Yanga ambao walitua jijini Dar majira ya saa tano asubuhi wakitokea jijini Mbeya ambako walitoka kucheza na Mbeya City juzi…