
KIUNGO MPYA ATAMBULISHWA SIMBA RAIA WA GHANA
RASMI kiungo Augustine Okrah raia wa Ghana ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba. Kiungo huyo alikuwa kwenye kikosi cha Bechem United ya Ghana na alifunga mabao 14 msimu wa 2021/22. Nyota huyo ana uwezo wa kucheza katika nafasi ya winga kwa umakini mkubwa na kutimiza majukumu yake. Ikumbukwe kwamba anakuwa ni mchezaji wa tatu wa…