
USIKU WA MANANE YANGA WAMTAMBULISHA WINGA WA KAZI
RASMI Yanga imefanikiwa kupata saini ya winga wa kimataifa wa Burkina Faso, Aziz Ki ambaye ametambulishwa usiku wa kuamkia leo Julai 15, 2022. NI usiku wa manena nyota huyo winga wa kazi aliyewapa tabu Simba kwenye mashindano ya kimataifa aliweza kutamulishwa rasmi. Nyota huyo ametokea Klabu ya ASEC Mimosas inayoshirki Ligi Kuu ya Ivory Coast ambapo…