
TAIFA STARS WANASTAHILI PONGEZI KIDOGO
USHINDI unaleta furaha,ushindi unaleta kicheko ushindi unarejesha lile tabasamu ambalo lilikuwa limejificha kwenye sura ya yule aliyekuwa na makasiriko. Unadhani ushindi unaleta hayo tu,hapana kuna mengi ambayo yanaletwa na ushindi ikiwa ni pamoja na furaha na kuhisi kwamba kila kitu unachogusa kinakutii na kile ambacho hauna mamlaka nacho kinakusikiliza kwa umakini. Ushindi upi ambao unaweza…