
SAUTI:MZUNGU DEJAN AMETABIRIWA MAKUBWA MSIMBAZI
KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki ameweka wazi kuwa bado kazi ya mshambuliaji wake Dejan itazidi kuonekana kwa kuwa ni mwanzo pekee
KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki ameweka wazi kuwa bado kazi ya mshambuliaji wake Dejan itazidi kuonekana kwa kuwa ni mwanzo pekee
SIMBA Queens leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya She Corporate ya Uganda kwenye mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ukanda wa Cecafa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Agosti 27 Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku na ikishinda itatwaa ubingwa huo kwa mara ya kwanza. Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian…
Zaidi unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushndinda Bonasi, Mizunguko ya bure na Jackpot kibao kwenye sloti ya Foxpot, na kasino ya Meridianbet. Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti hii ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama…
KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Yanga, Bernard Morrison ana zali na Coastal Union akiwa na uzi wa timu mbili tofauti kwa kuwatungua bao lake la kwanza. Raia huyo wa Ghana, msimu wa 2021/22 alikuwa akivaa uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba na msimu huu wa 2022/23 uzi wake…
KOCHA wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov, ameweka wazi kuwa, ndoto yake ni kuona anafikia rekodi aliyoiweka akiwa na Simba ya kufika angalau robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Mbrazili huyo ameweka wazi kuwa, wana nafasi kubwa ya kufikia mafanikio hayo kutokana na ubora wa kikosi walichonacho msimu huu. Katika michuano…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Zoran Maki, amebadili uamuzi na haraka amembakisha kiungo wake mkabaji, Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuendelea kuicheza timu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kocha huyo achukue uamuzi wa kuwaacha nyota wake watatu ambao John Bocco, Nassoro Kapama na Akpan. Akpan ni kati ya wachezaji ambao awali waliondolewa…
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa mashabiki wa timu hiyo wasiwe na presha watakuwa imara kwenye upande wa safu ya ushambuliaji ambayo inaongozwa na Dejan
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Salama Ngale ameweza kumchambua mzungu wa Simba, Dejan kwa kueleza kuhusu uwezo wake
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwa hana mpango na beki kisiki wa timu hiyo Joash Onyango, wapo wachezaji wengine pia ambao anahitaji waondoke katika kikosi hicho.
CESAR Manzoki nyota wa Vipers SC ya Uganda alikuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ila mpango huo umekwama, siri ya Simba kuachana na nyota huyo imebainishwa kwamba ni dau pamoja na kupata timu mpya nchini China.
PACHA wa Fiston Mayele, mshambuliaji wa Yanga amebainisha namna ambavyo amefuatwa na viongozi wa Simba pamoja na kuzungumzia mafanikio ya Mayele
KIKOSI cha Simba kitakuwa nchini Sudan kwa ajili michezo ya kimataifa ya kirafiki wakiwa wamealikwa kwenye michuano midogo iliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Mechi tatu za kimataifa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu itacheza wakati huu ligi ikiwa imesisimama kwa ajili ya mashindano ya CHAN, Zoran Maki akisaidiana na msaidizi mzawa Seleman Matola ni miongoni…
Sloti ya Forest Rock Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi? Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yote hayo yanawezekana. Meridianbet inakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na watengenezaji maarufu wa sloti- Expanse Studio iitwayo Forest Rock. Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu…
KIUNGO wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ yupo chini ya uangalizi wa madaktari ili kuweza kurejea kwenye ubora wake. Kiungo huyo ni mali ya Azam FC alipata maumivu akiwa na timu yake ya Azam baada ya kurejea kutoka Misri walipokuwa wameweka kambi. Kiungo huyo ni miongoni mwa nyota walioitwa na…
USHINDI wa mabao 5-1 dhidi ya AS Kigali umewapa nafasi Simba Queens kutinga hatua ya Fainali Ligi ya Wanawake Afrika Ukanda wa CECAFA. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex timu zote zilikuwa zinasaka ushindi ili kuweza kupata matokeo na kuweza kusonga mbele. Shukrni kwa mabao ya Vivian Carozone aliyefunga mawili, Opah Clement alitupia…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Said Ntibanzokiza anatajwa kumalizana na Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Nyota huyo ambaye alijenga pacha matata na Fiston Mayele alisepa ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu wa 2021/22 baada ya kandarasi yake kugota ukingoni. Ni dili la miaka miwili anatajwa kupewa nyota huyo ambaye ni…
UONGOZI wa Geita Gold umeweka wazi kuwa makubaliano ya kuachana na wachezaji wao yamezingatia utaratibu kwa kuwa wanaheshimu mikataba ya wachezaji wao. Timu hiyo imetangaza kuachana na wachezaji saba na kufikisha idadi ya wachezaji 9 ambao wameondoka katika kikosi hicho. Wachezaji ambao hawatakuwa ndani ya Geita Gold ni pamoja na Maka Edward, Ramadhan Athuman Teleza, Pius…