
MAKI:TUTAJITAHIDI KUSHINDA,MO AFANYA KIKAO
ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa watajitahidi kushinda kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Leo Agosti 13, Simba inatarajia kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Maki amesema kuwa anawaheshimu wapinzani wao Yanga lakini watafanya kila namna kwenye kusaka ushindi watakapokutana. “Tunakutana na timu…