
BEKI BORA NDANI YA SIMBA ATAMBULISHA SINGIDA BIG STARS
BEKI bora wa muda wote eneo la kati ndani ya Simba,kwa muda ambao alikuwa hapo Pascal Wawa sasa atakuwa ni mali ya Singida Big Stars. Ikukumbwe kwama Wawa alikuwa ni chaguo la kwanza kwa makocha ambao wamepita Simba ikiwa ni zama za Masoud Djuma,Patrick Aussems,Didier Gomes na zama za kocha wa makombe Pablo Franco alianza…