
MAYELE ANATAKA TUZO LIGI KUU BARA
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amebainisha kuwa malengo yake kwa msimu wa 2022/23 ni kutwaa kiatu cha ufungaji bora. Nyota huyo msimu wa 2021/22 kasi yake ya kutupia mabao iligotea kwenye namba 16 na pasi nne. Namba moja alikuwa ni staa wa Geita Gold, George Mpole ambaye alitupia mabao 17 na pasi nne za mabao….