
MOTSEPE ASHINDA URAIS CAF HADI 2029!
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe, amechaguliwa tena kuliongoza Shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Motsepe ambaye amekuwa Rais wa Shirikisho hilo tangu mwaka 2021, sasa atasalia katika kiti hicho mpaka mwaka 2029 Kwa awamu ya pili mfululizo. Uchaguzi huo umefanyika leo Machi 12,2025 jijini…