
BACCA APANDISHWA CHEO KMKM KUTOKA KOPLO NA KUWA SAJENTI
Beki kisiki wa klabu ya Yanga SC Ibrahim Hamad ‘Bacca’ amepandishwa cheo na Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye mchezo wa soka. Akizungumza baada ya zoezi hilo Sajenti Ibrahim Bacca ambaye wazazi wake pia ni askari amesema “Sina budi kushukuru kikosi changu kwa…