
SAUTI:SABABU YA BOCCO KUTOCHEZA MECHI ZA SIMBA
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba ametaja sababu za nahodha wa timu hiyo John Bocco kutocheza mechi za hivi karibuni za Ligi Kuu Bara
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba ametaja sababu za nahodha wa timu hiyo John Bocco kutocheza mechi za hivi karibuni za Ligi Kuu Bara
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewaombea ulinzi wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Bernard Morrison, Fiston Mayele wawapo uwanjani. Pia Nabi amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wote kwenye ligi kulindwa.
TEPSI Evance, kiungo wa Klabu ya Azam FC amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu CHAN unaotarajiwa kuchezwa Agosti 28,2022. Nyota huyo kwenye mechi mbili za ligi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao. Stars imeingia…
MANCHESTER United imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Traford. Mabao ya Jadon Sancho dakika ya 16 na Marcus Rashford yalitosha kuipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Bao la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 81. Rekodi zinaonyesha kuwa United ilipiga jumla ya…
KUCHANGAMKA kwa mzunguko wa kwanza na wa pili kwenye ligi kumetokana na maandalizi mazuri ambayo yalifanywa na timu husika hilo halipingiki. Kwa timu ambazo zilikwama kupata matokeo hapo kuna sehemu ya kuangalia namna ya kuweza kuboresha na kuwa bora wakati ujao. Katika mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili inaonekana kwamba wachezaji wanatumia nguvu…
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amebainisha wazi kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi mbili mfululizo watayafanyia kazi ili waweze kurejea wakiwa imara. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ligi msimu wa 2022/23 imeyeyusha pointi sita mazima kwa kuwa ilifungwa kwenye mechi hizo. Ilianza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa…
SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Issa Azam amebainisha kuwa Yanga wanajidanya kuhusu usajili wa nyota Manzoki kwa kuwa atajiunga na Simba
SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Aggy Simba amebainisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Dejan Georgijevic ni habari ya mjini kwa sasa
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwaambia mabosi wa timu hiyo wamletee Manzoki ili aweze kuongeza nguvu kweye safu ya ushambuliaji, ikishindikana basi atafutwe mwingine kwa ajili ya kuogeza nguvu katia kikosi hicho
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kuna umuhimu wa waamuzi kuweza kuwalinda wachezaji kwenye mechi zote ambazo wanacheza. Kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Agosti 20,2022 wakati ubao ukisoma Coastal Union 0-2 Yanga kiungo Jesus Moloko alikwama kukamilisha dakika 90. Kiungo huyo alitoka dakika ya 25 nafasi yake ikachukuliwa…
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba ameweka ayana kwamba atafanya marekebisho makubwa kwenye kikosi hicho hasa katika safu ya ulinzi ili kuweza kupunguza makosa ya kufungwa kwenye mechi ambazo watacheza
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa kwa sasa hawana mpango wa kuweza kumsajili mchezaji mwingine wa kigeni kama ambavyo imekuwa ikielezwa. Jina la nyota Cesar Manzoki ambaye ni mali ya Vipers SC ya Uganda limekuwa likitajwa kuweza kumalizana na Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo msimu wa 2022/23. Pia mshambuliaji…
BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa hatma ya mkataba wa winga wa timu hiyo Bukayo Saka itafahamika hivi karibuni. Saka amekuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Arsenal ambapo kocha wa timu hiyo anapambana kusuka kikosi upya. Winga huyo mkataba wake wa awali unamalizika Juni 2024 kikosini hapo. Timu za Manchester United, Manchester City na…
Jitihada za Muingereza Anthony Joshua kunyakua tena mataji ya uzito wa juu yaliyounganishwa ya dunia yalimalizika kwa mafadhaiko huku Oleksandr Usyk akitoa matokeo mazuri na kushinda kwa uamuzi wa uliowagawanya waamuzi huko Jeddah, Saudi Arabia. Katika pambano lililoitwa ‘Rage on the Red Sea’, Joshua aliyekuwa na ukakamavu, mwenye umri wa miaka 32, alionyesha nia ya…
Unapokuwa katika wakati mgumu, unafaa kuwa na matumaini kuwa kuwa jamii yetu ni bora sana, na changamoto zako sio za kwako peke yako. Andrew Rossi, alifarijika sana kuona nyuso za wana Meridianbet wakigonga hodi nyumbani kwake. Bwana Rossi, ana changamoto ya kiafya, ambayo alihitaji kiasi cha fedha kwa ajili ya vipimo vya afya na matibabu….
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wamepoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na makosa ambayo walifanya wachezaji wake huku akiwataja wachezaji wa Simba ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kuwa ni moja ya viungo wazuri
KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki ameshangilia kwa furaha huku akibainisha wazi kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Dejan Georgejivi ana uwezo mzuri katika kutimiza majukumu yake