
VIDEO:MAKAPU AMCHAMBUA BANGALA, ATAJA SABABU ZA KUONDOKA YANGA
BEKI Juma Makapu amefunguka sababu za kuondoka ndani ya Yanga huku akibainisha kwamba Ligi Kuu Bara ni ngumu
BEKI Juma Makapu amefunguka sababu za kuondoka ndani ya Yanga huku akibainisha kwamba Ligi Kuu Bara ni ngumu
MZARAMO ambaye ni shabiki wa Simba amebainisha kuwa ikiwa mzungu wa Simba, Dejan Georgejivic akianza kikosi cha kwanza kabla Sakho,Chama hajachoka ataondoka na mpira kwa kuwa anaweza kufunga mabao matatu, mchezo wa kwanza kwa Dejan kufunga ilikuwa mbele ya Kagera Sugar wakati Simba ikishinda mabao 2-0, Uwanja wa Mkapa
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alifunga msimu wa 2022/23 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania mchezo uliochezwa Uwanja wa heikh Amri Abeid huku akibainisha kuwa tayari muunganiko kwenye kikosi hicho umeanza kupatikana.
MSHAMBULIAJI wa Tottenham, Harry Kane ameweka rekodi yake wakati timu hiyo ikishinda bao 1-0 dhidi ya Wolves kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana. Kane alivunja rekodi ya Aguero kwa kufikisha mabao 185 na kuwa mchezaji ambaye amefunga mabao mengi akiwa na timu moja ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo amebeba tuzo ya…
MAJINA ya wachezaji wa timu ya Taifa ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa Afrika, (CHAN) dhidi ya Uganda yameshawekwa wazi. Nyota 25 ambao wameitwa kazi yao kubwa ni kuweza kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa ili waweze kupata matokeo chanya katika mchezo huo. Imani kubwa ni kuona…
YANGA, Simba, shoo shoo, mido mpya kimeeleweka Simba SC, ndani ya Spoti Xtra Jumapili
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa wachezaji wake, Mghana Bernard Morrison na Mkongomani, Heritier Makambo, wana kazi maalum za kimbinu na kiufundi katika kikosi chake. Nabi amesema kuwa wachezaji hao anawatumia kama ‘Super Sub’ ambao kazi yao ni kwenda kuwazuia mabeki na viungo wakabaji wa timu pinzani kupanda. Nabi amesema kuwa anapenda…
SIMBA imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mabao ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki yamefungwa na Moses Phiri dakika ya 42 na bao la pili lilifungwa na Dejan dk ya 81. Simba inafikisha pointi 6 kibindoni baada ya kucheza mechi mbili…
MOSES Phiri amefunga bao la kuongoza kwa Simba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar dk ya 42 kwa pigo la kichwa baada ya nyota Clatous Chama kupiga faulo iliyogonga mwamba. Mchezo huo ni wa kasi kubwa kwa timu zote kucheza kwa tahadhari kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Nyota wa Kagera Sugar, Apolinary ameonyeshwa kadi…
KIKOSI cha Simba ambacho kitaanza kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa kipo namna hii:- Manula Mohamed Hussein Shomari Kapombe Henock Inonga Ouattara Mohamed Sadio Kanoute Pape Sakho Clatous Chama Moses Phiri Agustino Okra Peter Banda
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa mabao ya Bernard Morrison dk ya 4 na Fiston Mayele dk ya 67. Mayele ametetema kwa mara nyingine kwenye mchezo wa leo ambao alianzia benchi na alichukua nafasi ya Makambo Heritier….
UBAO wa Uwanja wa Mkapa, baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, Simba imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali. Ni mabao ya Vivian Aquino Corazone anayevaa uzi namba 4 dakika ya 15 huku Philomena Abakay yeye alitupia mabao mawili na uzi wake mgongoni ni namba 27. Mshambuliaji mahiri…
GWIJI wa Liverpool, Luis Suarez, amemuonya Mruguay mwenzake, Darwin Nunez kujifunza kutoka kwenye makosa yake baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Joachim Anderson kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Crystal Palace. Mshambuliaji huyo anayeichezea Nacional kwa sasa anakumbukwa kwamba alikuwa ni mbabe na mtukutu katika miaka mitatu ambayo alitumika…
MANCHESTER United imekubaliana na Real Madrid dili la kumsajili kiungo Casemiro kwa pauni milioni 60. Tayari pande zote zimeshakubaliana huku United pia ikiwa imeshakubaliana na Mbrazil huyo ambaye anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii kabla ya kusaini mkataba wa miaka minne, Old Trafford. Mkataba huo unakipengele cha kuongeza mwaka mwingine zaidi ikiwa atafanya kazi…
YANGA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mastaa watatu ambao ni pamoja na Kambole, Diarra na Sure Boy wanatarajiwa kuukosa mchezo
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Agosti 20,2022 ambapo kuna mechi nne zitachezwa kusaka pointi tatu muhimu. Ikumbukwa kwama jana Agosti 19 ulichezwa mchezo mmoja, Uwanja wa Uhuru na ubao ulisoma Ihefu 0-1 Namungo FC. Leo ni Coastal Union v Yanga Polisi Tanzania v KMC Simba v Kagera Sugar
FILAMU ya Manzoki, Simba, Yanga, mastaa watatu Yanga kuikosa Coastal Union leo, ndani ya Championi Jumamosi