
AZAM FC KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA
KIKOSI cha Azam FC kinatarajia kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibout, AS Arta Solar 7, mechi itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex Agosti 30 mwaka huu saa 1.00 usiku. Timu hiyo imesajili nyota wa zamani waliowika kwenye Ligi Kuu England, Alex Song na Solomon Kalou. Azam FC ilifanya maandalizi yake nchini…