
YANGA KAMILI KUWAVAA AL HILAL KIMATAIFA
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Abdihamid Moalin amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Al Hilal utakuwa ni mgumu lakini wapo tayari kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu kutokana na umuhimu wa mchezo huo kwa Yanga. Ikiwa Yanga itapata pointi tatu kwenye mchezo huo itabakiwa na mchezo mmoja Uwanja wa Mkapa ambao huo utaamua hatima…