
KUMEKUCHA, MZUNGU SIMBA KUCHUKULIWA HATUA STAHIKI
UONGOZI wa Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez umeweka wazi kuwa straika wao Dejan Georgijevic hajafuata taratibu kwenye suala la kuvunja mkataba wake. Nyota huyo maarufu kama Mzungu wa Simba, mapema jana Septemba 28,2022 kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram alibainisha kuwa amethibitisha mkataba wake wa ajira ndani ya Simba umesitishwa. “Ninathibitisha kwamba…