
MANCHESTER UNITED, CHELSEA ZAMUWANIA LEAO
NI Manchester United pamoja na Chelsea zimeingia katika mpango wa kuwania saini ya winga wa AC Milan na timu ya Taifa ya Ureno Rafael Leao. Leao alikuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Italia Serie A msimu uliopita, amebakisha miezi 18 katika mkataba wake alionao kwa sasa na mabingwa watetezi wa Ligi hiyo AC Milan. Taarifa…