KMC MAJANGA, MTIBWA IHEFU ZAPETA

WAKIWA Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar wamekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Azam Sports Federation. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata huku mtupiaji akiwa ni David Kameta, ‘Duchu’ dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti uliowandoa mazima KMC kwenye mashindano. KMC hawana bahati pia kwenye mashindano haya kwa kuwa…

Read More

SIKU YA KUONDOKA NA MKWANJA MREFU NI LEO

Jumapili ndio hii imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Unasubiri nini kuchukua chao mapema? Mechi za ligi kuu ya Italia SERIE A leo hii zinaendelea ambapo Atalanta atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Empoli ambao wanashikilia nafasi…

Read More

MPANGO WA AZAM FC, KIPANGA KIMATAIFA IMEGOMA

MPANGO wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa umegotea Uwanja wa Azam Complex licha ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Khadar ya Libya. Timu hiyo imeondolewa kwenye Kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 3-2 kwa kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini Azam FC ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 na jana ilikuwa inahitaji…

Read More

SIMON MSUVA ATAJWA KUIBUKIA TP MAZEMBE

UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka wazi mipango yao ya kuhitaji kukirudisha kikosi chao katika mafanikio ya kimataifa kunako michuano ya Afrika. Msuva licha ya timu yake ya Wydad Casablanca kuendelea kucheza katika mashindano mbalimbali, lakini winga huyo yupo Tanzania akiendelea kujifua, huku ikielezwa kwa sasa hayupo kwenye maelewano mazuri na mabosi wake hao kutoka Morocco. Bosi mmoja kutoka TP Mazembe…

Read More

SIMBA NDANI YA MBEYA KUIKABILI IHEFU

KIKOSI cha Simba kimewasili Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate Mbeya Jumatatu, Aprili 9,2023. Simba imetoka kupata ushindi wa mabao 5-1 Ihefu kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali. Mchezo huo wa ligi utakuwa na ushindani mkubwa…

Read More

KOCHA KAIZER CHIEFS AMALIZANA NA SIMBA

BAADA ya kufanya mazungumzo mazito na mabosi wa Simba SC, inaelezwa kwamba kocha wa zamani wa Kaizer Chiefs, Stuart Baxter, wamefikia makubaliano mazuri, lakini ameomba kwanza kurejea kwao Uingereza. Kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na England U19, juzi alifanya mazungumzo na mabosi wa Simba kwa ajili ya kukamilisha dili…

Read More

MANCHESTER UNITED YAICHAPA EVERTON

BAO la mapema Alex Iwobi ambalo alifunga dakika ya 5 halikutosha kuwapa pointi tatu mbele ya Man Chester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ni Antony aliweka usawa dakika ya 15 na kufanya ubao wa Uwanja wa Goodison Park kusoma Everton 1-1 United. Dakika ya 44 Cristiano Ronaldo alipachika bao la ushindi na kuifanya…

Read More

WYDAD HAO FAINALI AFL

KLABU ya  Waydad Casablanca ya Morocco  imefanikiwa kutinga hatua ya Fainal katika Mashindano ya African Football League mara baada ya kuiondosha Klabu ya Esperance De Tunis kwa Mikwaju ya Penati Klabu ya Wydad Imeibuka ushindi wa magoli 5 yaliyopatikana kwenye mikwaju ya Penati dhidi ya Esperance walioapata magoli 4 katika mikwaju ya Penati Watakutana na…

Read More

YANGA YATINGA ROBO FAINALI KIBABE

Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria kwenye hatua ya makundi. FT: Young Africans ?? 4-0 ?? CR Belouizdad ⚽️ Mudathir Yahya 43’ ⚽️ Aziz Ki 46’ ⚽️ Kennedy Musonda 48’ ⚽ Joseph Guede…

Read More