MAPUMZIKO: PRISONS 0-0 SIMBA, UWANJA WA SOKOINE

UWANJA wa Sokoine dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha bila kupata bao la uongoza. Ubao unasoma Tanzania Prisons 0-0 Simba huku kila timu zikitengeneza mashambulizi kwa kushtukiza. Ni Ezekiel Mwashilindi ni mwiba kwa Simba kutokana na kutibua mipango huku beki Henock Inonga akiwa na kazi ya kuongoza safu ya ulinzi akishirikiana na Kenned Juma….

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA PRISONS

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo kinakazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambao nao wanazitaka pia. Hiki hapa kikosi cha kwanza kinachotarajiwa kuanza, Uwanja wa Sokoine:-  Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Kennedy Juma Henock Inonga Jonas Mkude Clatous Chama Mzamiru Yassin Habib Kyombo Moses Phiri Pape Sakho…

Read More

BUKU MBILI TU KUWAONA YANGA KIMATAIFA

SEPTEMBA 17,2022 Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo kuwaona mastaa wa Yanga ikiwa ni pamoja na Farid Musa, Fiston Mayele, Feisal Salum ni buku mbili tu, (2,000). Kwa upande wa VIP A…

Read More

GEITA GOLD BADO WANA MATUMAINI KIMATAIFA

 WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Geita Gold wamewashukuru mashabiki kwa sapoti yao licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kimataifa kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Hilal Al Sahil. Kocha Mkuu wa Geita Gold, Felix Minziro aliongoza kikosi hicho kwenye mchezo huo na sasa ni mahesabu kuelekea mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 14 inaendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Tanzania Prisons wataikaribisha  Simba kwenye mchezo wao wa ligi. Ikumbukwe kwamba Tanzania Prisons ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mbeya City na Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya KMC. Benjamin Asukile nyota wa Tanzania Prisons ameweka…

Read More

ONYANGO NDANI YA SIMBA, KAZI INAANZA MBEYA

BEKI wa kati wa Simba, Joash Onyango ni miongoni mwa nyota wa kikosi hicho ambao wamewasili salama Mbeya, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons unaotarajiwa kuchezwa kesho, Septemba 14, Uwanja wa Sokoine Mbeya. Wengine ni pamoja na Aishi Manula ambaye leo ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani, Clatous Chama,…

Read More

YANGA YAICHAPA MTIBWA 3-0, AZIZ KI ATUPIA

WAKATI Yanga ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ni mabao ya Djuma Shaban dakika ya 32, Fiston Mayele dakika ya 37 na Aziz KI dakika ya 90 yalitosha kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 10 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji walicheza kwa umakini kipindi…

Read More