
KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA
BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….