
FIFA YAIFUNGIA CONGO BRAZZAVILLE KUSHIRIKI SHUGHULI ZOTE ZA KISOKA
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa ya Congo na vilabu kushiriki katika mashindano ya Kimataifa. FIFA ilifafanua kuwa imeamua kusitisha uanachama wa shirikisho la soka la Congo Brazzaville hadi itakapotangazwa tena, kutokana na kuingilia kati kwa Waziri wa michezo wa Congo,…