
HII HAPA ORODHA YA WAKALI WA KUCHEKA NYAVU
WACHEZAJI ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora wanapambana katika kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja msimu wa 2024/25. Kwenye eneo la ufungaji kuna wakali katika kucheka na nyavu hapa tunakuletea orodha yao namna hii:- Jean Ahoua-15 Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC yeye ni namba moja akiwa katupia…