
URENO YATINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA
TIMU ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uruguay. Mbele ya mashabiki 88,668 mashabiki walishuhudia mabao yote yakifungwa na Bruno Fernandes ambaye alikuwa kwenye ubora wake. Dakika ya 54 na 90 alipachika bao hilo kwa mkwaju wa penalti na…