
VIDEO: YANGA: MGUNDA ATAFUKUZWA NA MAKOFI,AOMBEWA KHERI
MBOTO shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa Kocha Mgunda anapaswa kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa akifungwa kuna nyimbo huwa wanaimbiwa, amebainisha kuwa Juma Mgunda atafukuzwa tena na makofi kwa kuwa mashabiki wa Simba wameumbiwa hasira