
CAMEROON KIGONGO CHAO CHA BRAZIL NI CHA MAAMUZI
ANGALAU timu ya taifa ya Cameroon imepata matumaini ya kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Dunia Qatar lakini itakutana na kigogo kizito Ijumaa dhidi ya Brazil. Sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Serbia inawapa nguvu ya kupambana mchezo ujao licha ya kwamba walikuwa na nafasi ya kushinda mchezo wa leo. Ni Jean-Charles Castelletto…