
GHANA WAUPIGA MWINGI WAWAPA TABU WAKOREA
GHANA imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini kwenye mchezo wa Kombe la Dunia ambao unatajwa kuwa mmoja ya mchezo bora kutokea mwaka huu 2022 Qatar. Nyota wa Ghana mwenye miaka 22 na siku 118 , Mohammed Kudus anakuwa staa wa pili kutoka Afrika mwenye umri mdogo kufunga mabao mawili kwenye Kombe…