
VIDEO:JEMBE:SIMBA WABORESHE KWENYE USAJILI/LIGI NGUMU
MWANDISHI mkongwe kwenye masuala ya uandhishi wa Habari za Michezo Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi maeneo ambayo wanapaswa kuboresha pamoja na namna ligi ilivyo kwa msimu wa 2022/23
MWANDISHI mkongwe kwenye masuala ya uandhishi wa Habari za Michezo Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi maeneo ambayo wanapaswa kuboresha pamoja na namna ligi ilivyo kwa msimu wa 2022/23
Doha, Qatar — Ilikuwa na Shangwe nderemo na vifijo baada ya timu ya Argentina kupata ushindi huo muhimu katika eneo la Funfest kulikojaa watazamaji wengi kushuhudia mchezo huo kati kati mwa jiji la Qatar. Lionel Messi alikosa penalti iliyookolewa na kipa wa Poland Wojciech Tomasz Szczęsny anayecheza katika klabu ya ligi ya Serie A ya…
LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…
TULIENI sasa winga Muivory Coast mlangoni Simba SC, Nabi awajaza upepo mastaa Yanga ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
JEMBE afungukia ishu ya Yanga kufungwa, marefa pamoja na Azam FC
ISHU ya vipimo vya Uwanja wa Mkapa v Azam FC ukweli wake huu hapa
UONGOZI wa Dodoma Jiji umsema kuwa utaanza kutumia Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye mechi za nyumbani baada ya kufunguliwa. Uwanja huo ulikuwa umefungiwa kwa matumizi kutokana na kutokidhidi vigezo hivyo kufunguliwa kwake ni baada ya vigezo kukamilika. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema kuwa wamepokea taarifa hizo kwa furaha na itakuwa ni mwanzo…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Yanga kwenye mchezo wao wa raundi ya Pili wataanza na Kurugenzi FC. Yanga ni mabingwa watetezi ambao walitwaa ubingwa huo uliokuwa mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Kikosi hicho kipo chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi akifanya kazi kwa ukaribu na Cedric Kaze ambaye ni msaidizi….
KWENYE droo ya Azam Sports Federation raundi ya pili ambayo imechezwa leo Novemba 30,2022 Simba imewatambua wapinzani wake. Ni kikosi cha Eagle kitapambana na Simba kusaka ushindi kwenye mchezo wao huo ujao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 9-11, 2022 ambapo Simba waliweka wazi kuwa wanahitaji kutwaa taji hilo. Mabingwa watetezi wa taji hilo…
Timu ya taifa ya Senegal Simba wa Teranga imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kufanikiwa kuingia raundi ya 16 katika michuano ya mwaka huu baada ya kuifunga Ecuador bao 2-1. Senegal iliingia kwenye michuano kwa kusua sua ikimkosa mchezaji wake hatari Sadio Mane lakini ikajirekebisha baada aya kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya…
NYOTA Marcus Rasford alikuwa kwenye ubora wakati timu ya taifa ya England ikiwatungua mabao 3-0 Wales kwenye mchezo wa hatua ya makundi, Kombe la Dunia Qatar. Ni dakika ya 50 na 68 nyota huyo alifunga huku bao lingine likiwa ni mali ya Phil Foden dakika ya 51 kwenye mchezo huo wa kundi B uliokuwa na…
KUTOKANA na Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linalofanyika Qatar kuanza karibia majira ya baridi, msimu huu umekuwa wa kitofauti ambapo ligi mbalimbali duniani zimesimama kupisha michuano hii mikubwa ya kimataifa. Miaka ya nyuma, Kombe la Dunia limekuwa likichezwa punde tu ligi nyingi duniani zinapomalizika. Msimu huu hali imekuwa tofauti, ligi mbalimbali zilichezwa na…
SIMBA wafanya maamuzi magumu, unbeaten ya Yanga kwishaaaa ndani ya Championi Jumatano
HAWA hapa nyota watano watakaopigwa panga ndani ya kikosi cha Simba
BAADA ya kupoteza mchezo wa jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC kikosi cha Yanga kimewasili salama Dar. Novemba 29/2022 itakuwa kwenye rekodi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuonja joto ya kupoteza mechi ya ligi kwa mara ya kwanza tangu itunguliwe Aprili 25,2021. Timu ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni…
KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu. Ongala amekuwa kwenye mwendo bora na kikosi cha Azam FC ambapo mchezo wake wa kwanza aliwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Mkapa na mtupiaji alikuwa ni Prince Dube. Ushindi…