
GHANA HAWANA BAHATI NA PENALTI KOMBE LA DUNIA
TIMU ya taifa ya Ghana kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1966 wakati rekodi zinatajwa kuanza kukusanywa inakuwa timu ya kwanza kukosa penalti mara mbili kwa timu moja. Ilikuwa ni mwaka 2010 na 2022 mbele ya timu ya taifa ya Uruguay jambo ambalo linawasumbua kwa kweli Waafrika hawa. Wakati wakifungwa mabao 2-0 dhidi ya Uruguay…