
AZAM FC HAWANA HOFU KUZIKABILI SIMBA NA YANGA
KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wana uwezo mkubwa hivyo hawahitaji kupewa mambo mengi wa kuzikabili timu kongwe Bongo Simba na Yanga. Msimu wa 2022/23 timu ya kwanza kuwatungua Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ni Azam FC ambapo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku…