
AZAM FC YABANWA MBAVU NA WAKULIMA
WAKULIMA wa alizeti, Singida Black Stars wamewabana mbavu mataji wa Dar kwenye mchezo wa ligi mzunguko wa pili kwa kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Liti, Aprili 6 2025 ambapo matajiri Azam FC walisepa wakiwa wameyeyusha pointi tatu mazima. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa dakika 45…