
SIMBA: TUNAHANGAIKA NA AL MASRY, MASHABIKI TUJITOKEZE
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa watapambana na wapinzani wao Al Masry kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa, Aprili 9 2025 na malengo ni kuona wanatinga hatua ya robo fainali, Kombe la Shirikisho Afrika mashabiki wajitokeze kwa wingi.