
SIMBA YAIVUTIA KASI TABORA UNITED
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kupata matokeo mazuri dhidi ya Tabora United mchezo wao wa Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC. Ipo wazi kuwa Tabora United kwenye mechi zake zilizopita dhidi ya timu ambazo zipo ndani ya tatu bora ilipata matokeo kwa kukomba pointi tatu mazima ilikuwa dhidi ya…