
AL AHLY NA PYRAMIDS ZIMEANZA HATUA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA KWA USHINDI
Miamba ya Nchini Misri, Al Ahly na Pyramids zimeanza hatua robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi huku Maharamia wa Afrika Kusini, Orlando Pirates wakiilaza MC Alger ya Algeria ugenini. FT Pyramids 🇪🇬 4-1 🇲🇦 FAR Rabat ⚽ 02’ Mayele ⚽ 12’ Mayele ⚽ 39’ Adel ⚽ 67’ Adel ⚽ 45’ Hadraf FT Al…