
KWA KASI YA YANGA, SIMBA WAJIPANGE
KWA kasi ya Yanga, Simba wajipange, ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
KWA kasi ya Yanga, Simba wajipange, ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa mzunguko wa pili utatoa dira ya wao kufanikisha malengo ya kutetea taji hilo. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora wa kupata matokeo licha ya kupoteza mchezo mmoja kati ya 17 ilipotunguliwa na Ihefu mabao 2-1. Kwa sasa ipo kwenye maandalizi kuelekea kwenye mchezo wao dhidi…
KLABU ya Manchester United imetinga robo fainali ya Kombe la Carabao kufuatia ushindi wa moja kwa moja wa mabao 2-0 dhidi ya Burnley Uwanja wa Old Trafford. Bao la Christian Eriksen la kipindi cha kwanza kwa shuti kali kufuatia kazi nzuri ya beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka liliipa United uongozi ilikuwa dakika ya 27. Juhudi…
BAADA ya kucheza mechi 17, Geita Gold wanafikisha kibindoni jumla ya pointi 23 ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 7 huku Azam FC ikiwa nafasi ya tatu na kibindoni ina pointi 38 na zote zipo ndani ya 10 bora kweye ligi. Ndani ya daika 180 kwenye mechi mbili wakiwa nyumbani wamekwama…
IKIWA ni kumbukizi yake leo Desemba 21 ya kuletwa duniani kiungo Pape Sakho kashuhudia timu yake ya Simba ikigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar. Moja ya mchezo uliokuwa ni wazi kwa timu zote mbili kusepa na pointi tatu muhimu lakini umakini wa safu za ushambuliaji kwa timu zote mbili ulikuwa ni hafifu. Ni Deus Bukenya…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa bado kasi ya wachezaji wa timu hiyo inazidi kuongezeka na watafanya vizuri mechi zao zijazo. Kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Coastal Union miongoni mwa nyota ambao walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Feisal Salum, Gael na Aziz KI. Ally Kamwe, Ofisa…
BEKI wa Simba Henock Inonga amepachika bao lake la kwanza leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Ni dakika ya 38 Inonga alipachika bao hilo akiweka usawa ndani ya dakika 45. Ni Kagera Sugar walianza kumtungua Aishi Manula kipa wa Simba ambaye hakuwa na chaguo kuokoa mpira huo. Ilikuwa ni dakika…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba hiki hapa:_ Manula ambaye hajafungwa kwenye mechi 10 akiwa ameyeyusha dakika 1306 leo ana kazi ya kuendelea kulinda rekodi yake. Kapombe mchezo uliopita alitoa pasi moja ya bao Zimbwe Jr ana pasi nne za mabao Henock Kaoute nyota pekee mwenye kadi nyekundu ndani ya…
BENCHI la ufundi la Azam FC chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala leo Desemba 21 limeshuhudia penalti iliyowaacha kwenye mshangao na kuwapa pointi moja mbele ya Geita Gold. Dakika ya 68 mshambuliaji wa Geita Gold, Danny Lyanga alionekana akipambana kuingia kwenye 18 ya Azam FC na kugongana na mdogo wake Ayoub Lyanga. Mwamuzi wa kati…
NYOTA Coastal Union akubali muziki wa Fiston Mayele
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa dabi ya Kariakoo upande wa Wanawake, Simba Queens v Yanga makocha wote wameweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo huo. Simba Queens ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi ya Wanawake Tanzania watawakaribisha Yanga Princess Uwanja wa Mkapa. Kocha Mkuu wa Yanga Princess ambaye ameibuka hapo muda mfupi baada ya…
VYUMA viwili rasmi Yanga, Simba yafyeka maproo watatu ndani ya Championi Jumatano
LIGI ya Wanawake Tanzania inaendelea ambapo watani wa jadi wote Simba Queens na Yanga Princess mechi zao za ufunguzi walipasuka. Kesho Desemba 22 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa watani wa jadi wenye rekodi zinazofanana. Simba Queens wao walinyooshwa mabao 2-1 dhidi ya JKT Queens huku Yanga Princess wao wakinyooshwa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gate Princess…
DESEMBA 21,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ikiwa ni mzunguko wa pili. Tanzania Prisons wenye pointi 15 watawakaribisha Dodoma Jiji kutoka makao makuu wakiwa na pointi 18. Pia Geita Gold wenye pointi zao 22 wao watamenyana na Azam FC wenye pointi 36. Ngoma nyingine itakayopigwa ni Kagera Sugar yenye pointi 22 kibindoni dhidi ya…
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Simba na Azam FC Ibrahim Ajibu anatajwa kumalizana na mabosi wa Singida Big Stars. Nyota huyo uora wake aliokuwa nao Yanga alipomaliza kwa kutoa pasi 17 za mabao bado anautafuta kwa kuwa hajagotea namba hata 10 ya pasi za mwisho. Kwa sasa mzee wa makorokocho anatajwa kutua ndani ya Singida…
Usisubiri kuhadithiwa! Jiunge na Meridianbet sasa ili uweze kupata bonasi na promosheni kibao katika michezo mingi. Kila wiki, Meridianbetinakuletea bonasi na promosheni kabambe kabisa. Wiki hii, Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Deuces Wild Poker uliotengenezwa na Habanero. Ukiingia katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, utakuta mchezo wa Deuces Wild Poker ambao ni…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union. Mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa, dakika 90 Yanga ilikuwa kwenye umiliki wa mpira jambo lililoipa Coastal Union kutoboa ngome iliyokuwa chini ya nahodha Bakari Mwamnyeto. Ni mabao ya Fiston Mayele ambaye ametupia mabao mawili na bao…