
YANGA YAITULIZA DODOMA JIJI, MAYELE YULEYULE
YANGA imesepa na pointi tatu jumlajumla kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakiwa ugenini. Ubao wa Uwaja wa Liti umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Ni Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 41 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya Dodoma Jiji kuwa nyuma…